- 2,482 viewsDuration: 3:18Viongozi wa dini wanaonya kuwa huenda uchaguzi mkuu ujao ukakumbwa na machafuko iwapo taasisi za kusimamia uchaguzi hazitajiandaa vilivyo. Kanisa la kipentekosti limeonya kuwavurugu zilizoshuhudiwa kwenye chaguzi ndogo zinaashiria utepetevu wa maafisa wa usalama na tume ya IEBC.