Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto asema matokeo ya chaguzi ndogo yamedhihirisha umoja ni nguvu

  • | Citizen TV
    4,979 views
    Duration: 1:05
    Rais William Ruto amesema kuwa matokeo ya chaguzi ndogo yamedhihirisha kuwa umoja ni nguvu. Rais amesema kuwa uhusiano na ODM kwenye serikali mahuluti umeipa serikali nguvu zaidi na kuwaunganisha wakenya. Rais aliwahakikishia wakazi wa kaskazini mwa nchi kuwa hawataachwa nyuma kwenye maendeleo.rais alizungumza alipokuwa kwenye hafla ya harusi ya mwanawe mkurugenzi wa ujasusi Noordin Haji huko Garissa.