- 1,026 viewsDuration: 2:43Wagonjwa wa saratani nchini wanazidi kuhangaikia matibabu wakisubiri mpango ulioimarishwa wa bima ya sha kuanza kutekelezwa mwezi Disemba. Rais Ruto alitangaza malipo ya matibabu chini ya SHA kwa wagonjwa wa saratani utaongezwa kutoka shilingi laki tano hadi laki nane ili kugharamia matibabu.