Ripoti ya ukaguzi wa kura na seva za IEBC imewasilishwa

  • | K24 Video
    64 views

    Ripoti ya kukaguliwa kwa kura na sava za IEBC zilizotumika wakati wa uchaguzi imewasilishwa na kujadiliwa katika mahakama ya juu kufuatia agizo lililotolewa jumatatu na mahakama hiyo.