1 Dec 2025 10:47 am | Citizen TV 298 views Duration: 1:39 Wavulana wawili kutoka eneo la Dadajabula katika eneo bunge la Wajir Kaskazini Kaunti ya Wajir wameripotiwa kutoweka, jambo linalosababisha hofu katika jamii.