16 Dec 2025 10:29 am | Citizen TV 132 views Duration: 1:33 Kama njia moja ya kuongeza idadi ya watalii kuzuru maeneo tofauti tofauti humu nchini, serikali inapigia debe mbinu mpya ya kuwapa nafasi wakenya wa umri mdogo kuzuru maeneo ya kuvutia ambayo hayajulikani sana.