Pedi za bei nafuu zinazodumu miaka miwili.

  • | BBC Swahili
    219 views
    Wanawake wa vijijini nchini Rwanda wenye uwezo wa kutatua suala la udhibiti wa hedhi ambao unaendelea kuwa tatizo kwa wanawake kote nchini. #bbcswahili #rwanda #wanawake #afya #biashara