- 3,213 viewsDuration: 2:39Rais William Ruto amewaagiza wanafunzi wote wa gredi ya 10 kuripoti shule hapo kesho hata iwapo hawawezi kumudu kulipa karo. Rais Ruto aliyezungumza katika kaunti ya Meru leo, alisema serikali imetoa ufadhili wa shilingi bilioni 44 kuhakikisha wanafunzi wanapata elimu. Wizara ya elimu imetoa onyo kali kwa wakuu wa shule watakaokiuka maagizo hayo