- 916 viewsDuration: 3:31Licha ya agizo la Rais William Ruto kutaka wanafunzi wote wa gredi ya shule kuripoti shule kufikia kesho, baadhi ya wanafunzi bado wamesalia nyumbani kwa kukosa uwezo. Hya yakijiri huku machifu wakiendeleza misako ya kuwatafuta wanafunzi wanaopaswa kuwa shuleni. Msako huu umepata zaidi ya wanafunzi 200 katika Kilifi