- 156 viewsDuration: 2:46Wanafunzi wa gredi ya kumi wanatarajiwa kuanza rasmi masomo yao wiki ijayo kufuatia kusambazwa kwa vitabu kwa shule za sekondari ya juu kote nchini. Taasisi ya mtaala nchini kicd na wizara ya elimu zikisema kuwa wachapishaji vitabu tayari wamechapisha vitabu na kusambaza asilimia 50 ya vifaa vya masomo