Skip to main content
Skip to main content

Jaji mstaafu Maraga aikashifu serikali kwa utekelezaji mbaya wa mtaala wa CBE

  • | Citizen TV
    503 views
    Duration: 1:27
    Jaji mkuu mstaafu David Maraga ameikashifu serikali kwa kile alichosema ni utekelezwaji mbaya wa mtaala wa CBE, aliyosema inawazuia maelfu ya wanafunzi kupata elimu ipasavyo. Akizungumza jijini Kisumu, Maraga alinakili baadhi ya misukosuko katika mtaala huo ikiwemo ukosefu wa miundombinu na walimu wa gredi ya kumi. Aidha, Maraga aliikashifu serikali kwa kujihusisha na miradi kama vile NYOTA aliyosema haina uwazi kuhusu chimbuko la fedha zinazotolewa kwa vijana