- 748 viewsDuration: 3:16Familia za wakenya waliokwama nchini urusi zinaendelea kulilia serikali kuingilia kati kuwarejeshwa jamaa zao nyumbani. Baadhi ya wakenya hao wanaripotiwa kuzuiliwa kama wafungwa wa vita na majeshi ya ukraine huku wengine wakiripoti kuuawa. Wizara ya mashauri ya kigeni nchini ikisema kuwa wengi wa wanaoripotiwa walisajiliwa kwa njia zisizo halali,