- 19,571 viewsDuration: 6:06Rais wa Marekani Donald Trump alituma ujumbe kwa waandamanaji nchini Iran muda mfupi baada ya maandamano ya hivi karibuni kuanza, akisema kuwa "msaada uko njiani." Tangu wakati huo, kumekuwa na ongezeko la taratibu lakini la wazi na kubwa la uwepo wa kijeshi wa Marekani katika eneo la Mashariki ya Kati. Sasa swali linaloulizwa ni je, Marekani inajiandaa kuishambulia tena Iran? #DiraYaDuniaTV