Skip to main content
Skip to main content

Mwanafunzi wa darasa la pili, abakwa na kuuawa kaunti ya Nyandarua

  • | KBC Video
    3,159 views
    Duration: 4:02
    Maafisa wa polisi Nyandarua wanachunguza kifo cha mtoto anayedaiwa kubakwa kisha kuuawa siku ya Ijumaa jioni katika Kijiji cha Mbombo, eneo bunge la Oljororok. Ripoti zinaonyesha kuwa mwanafunzi huyo wa gredi ya pili alikuwa akirejea nyumbani kutoka shule alipotoweka. Kutoweka kwake kulisababisha wazazi wake pamoja na majirani kuanza juhudi za kumtafuta, ambapo mwili wake ulipatikana chini ya mti wa mikaratusi, ulio karibu na njia inayoeleka nyumbani kwao. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive