Skip to main content
Skip to main content

Mudavadi : Muungano kati ya vyama vya ANC na UDA ulifwata taratibu za kisheria

  • | KBC Video
    249 views
    Duration: 3:28
    Waziri mwenye mamlaka makuu Musalia Mudavadi ametetea hatua ya kuvunja chama cha ANC na kuungana na kile cha UDA, akisisitiza mchakato huo ulifanywa kuambatana na sheria . Mudavadi, akizungumza katika mahojiano na vyombo vya habari vya eneo la Magharibi, alisema muungano huo ulifuata taratibu zote za kikatiba na kisheria, na kuwahimiza wafuasi wa chama hicho kuwa imara Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive