Shule ya upili ya wasichana ya st. Bakhita Chuka , imefungwa kufwatia ghasia za wanafunzi. Usimamizi wa shule hiyo umesema wanafunzi wataruhusiwa kwenda nyumbani hapo kesho. Kwingineko wafugaji wa mbuzi ambao walishiriki mnada wa mbuzi wa Kimalel,kaunti ya Baringo, wanalalamikia kucheleweshwa kwa malipo yao , miezi miwili baadaye. Wafugaji hao wanawashtumu maafisa wa kaunti kwa mapendeleo, wakidai kuwa, baadhi wafugaji wenye mahusiano na wanasiasa tayari wamelipwa huku watu wengine wakiendelea isubiri. Mengi zaidi ni katika mseto wa kaunti na mwanahabri wetu Khalid Abdullahi
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive