Skip to main content
Skip to main content

Jamii ya Gabra yaendeleza mila yake

  • | KBC Video
    249 views
    Duration: 3:10
    Katika jamii ya Gabra ,inaoishi kaunti ya Marsabit, ukarimu haunenwi bali huvaliwa.Jamii hiyo kwa karne kadhaa imehifadhi mila yake, ambayo imebainika kuwa nguzo msingi ya kumbukizi ya jamii hiyo.Mwanahabari wetu Aaron Marie,anasimulia jinsi chanda cha ngozi ya mbuzi kinatumika kama ishara ya ukarimu,heshima na utambulisho. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive