Skip to main content
Skip to main content

Wanafunzi wawili na walimu wawili wafariki katika ajali za barabani

  • | KBC Video
    387 views
    Duration: 3:34
    Walimu wawili na wanafunzi wawili wamefariki katika ajali mbili tofauti zilizotokea Nairobi na Nyeri katika muda wa saa 24 zilizopita. Akizungumza jijini Nairobi, Waziri wa Elimu Julius Ogamba alisema walimu wawili waliaga dunia baada ya kugongwa na gari la uchukuzi wa umma eneo la Ngara, Nairobi, wakati wa uchaguzi wa chama cha walimu wa shule za sekondari-KUPPET. Tukio lingiine lilitokea Nyeri, ambapo wanafunzi wawili walifariki baada ya gari lililokuwa limewabeba wanafunzi 25 kupata ajali. Ogamba amesikitishwa na ajali hizo na akawahakikishia walimu na wanafunzi usalama . Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive