Skip to main content
Skip to main content

Hasira dhidi ya mauaji Homa Bay

  • | Citizen TV
    156 views
    Duration: 3:02
    Hali ya wasiwasi imetenda katika eneo la Rangwe kaunti ya Homa Bay baada ya wenyeji waliojawa na ghadhabu kuteketeza nyumba sita za mwalimu mmoja mkuu. Inadaiwa mwalimu mkuu huyo alimuua mwalimu mmoja mstaafu na mkewe kufuatia mzozo wa ardhi. Maafisa wa polisi kaunti ya Homa Bay kwa ushirikiano na wenzao wa Ujasusi wanaendeleza msako wa mshukiwa ambaye alitoroka baada ya tukio.