- 128 viewsDuration: 2:04Hali ya sintofahamu imeibuka katika soko la Serem Showmap kule Aldai, baada ya wakazi na wafanyabiashara kuandamana kupinga mpango wa kubomoa soko hilo la zamani. Wakazi wanadai kuna njama ya kupuuza makubaliano ya awali kuhusu mahali ambapo soko jipya la kisasa linapaswa kujengwa.