Skip to main content
Skip to main content

Kijana mmoja,Hajir Ibrahim ajitolea kuwafunza watoto vijijini wajir.

  • | Citizen TV
    215 views
    Duration: 3:46
    Licha ya kushindwa kujiunga na chuo kikuu kutokana na ukosefu wa fedha, kijana mmoja kutoka Wajir anasaidia jamii kwa kutoa mafunzo kwa watoto katika eneo hilo. Ingawa Hajir Ibrahim hajasomea ualimu, mapenzi yake ya masomo yamempa msukumo wa kuwafundisha watoto na hata kuandika kitabu.