10 Feb 2026 1:48 pm | Citizen TV 434 views Duration: 1:53 Waziri wa Kawi Opiyo Wandayi ameonya dhidi ya wizi wa nguvu za umeme. Akizungumza katika eneo la Meru, Wandayi amesema kuwa kumekuwa na visa vya umeme kuwekwa kinyuma na sheria.