Viongozi wa Ukambani wamshutumu Waziri Kuria kwa kutaka kuwahamisha wakaazi Athi-River

  • | NTV Video
    445 views

    Viongozi kutoka Ukambani wakiongozwa na Kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka wamemshutumu waziri wa Biashara Moses Kuria kwa madai ya kuwasihi wakazi wanaishi maeneo ya East Africa Portland Cement kaunti ya Machakos kuhama.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya