- 32,121 viewsDuration: 38s“Khamenei, mmoja wa watu waovu zaidi katika Historia, amekufa,” Rais wa Marekani Donald Trump ameandika kwenye Truth Social. Serikali ya Iran haijathibitisha taarifa hiyo, mapema jumamosi ilisema kuwa kiongozi wao yupo hai na salama #iran #israel #bbcswahili Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw