Asasi za serikali zafanya kikao mjini Kapsabet dhidi ya pombe hatari

  • | Citizen TV
    647 views

    Asasi za usalama zikishirikiana na vitengo vingine vya serikali kaunti ya Nandi zinakutana mjini Kapsabet kutafuta mbinu za kukabiliana na ongezeko la pombe haramu eneo hilo. Hatua hii inajiri siku chache baada ya Rais William Ruto kuwaagiza maafisa wa utawala pamoja idara za usalama kupambana na pombe haramu na bidhaa ghushi nchini.