Skip to main content
Skip to main content

Shambulizi katika mkutano wa wafuasi wa serikali ya Iran

  • | BBC Swahili
    17,737 views
    Duration: 38s
    Picha za video zinaonyesha moshi mkubwa, baada ya shambulio la anga karibu na mkutano wa kuunga mkono serikali nchini Iran. Makundi ya watu kwenye Uwanja wa Naghsh-e Jahan Square katika mji mkuu wa kati wa Iran wanaonekana wakisema "Allahu Akbar" (Mungu ni Mkuu). Mikutano kama hiyo kote nchini imepangwa na Islamic Propagation Coordination Council, inayoratibu matukio kwa ajili ya kuunga mkono serikali. Haijulikani kutoka kwenye video kama kulikuwa na waathirika au nani anayehusika, lakini Israel Defense Forces walisema awali kuwa vikosi vyake vililenga miji ya Isfahan, Tehran na sehemu za kusini mwa Iran - - #bbcswahili #iran #mashambulizi #marekani Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw