Mikopo rahisi | Wakenya wavutiwa na hazina ya hasla

  • | KBC Video
    19 views

    Wakenya siku ya jumatatu walichukua mikopo ya thamani ya shilingi milioni 325 kutoka hazina ya hustler katika muda wa saa 5 pekee. Serikali imesema idadi ya wale waliochukua mikopo kwa mara ya pili iliongezeka marudufu , kutoka watu 162,000 hadi 191,000. Ripoti zadokeza kwamba wakenya waliweka akiba ya shilingi milioni 16 zaidi kutoka mikopo waliochukua kati ya saa kumi alfajiri na saa tatu asubuhi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #hazinayahasla #News