- 38,646 viewsDuration: 2:00Hii leo kuanzia saa mbili na nusu usiku, ulimwengu utashuhudiwa kupatwa kwa mwezi, tukio litakalodumu kwa takriban dakika 82. Hapa nchini bodi ya utalii kupitia kwa wizara ya utalii inaandaa hafla maalum huko samburu ambapo watalii kutoka mataifa mbalimbali duniani wanakongamana kutazama tukio hilo.