Vyama vya ushirika kuimarisha biashara ndogondogo nchini vyafanya kongamano la kwanza mjini Mombasa

  • | Citizen TV
    144 views

    Kongamano La Kwanza La Vyama Vya Ushirika Nchini Limeng'oa Nanga Jijini Mombasa. Waziri Wa Vyama Vya Ushirika Na Biashara Ndogo Simon Chelugui Anatazamiwa Kuzindua Rasmi Kongamano Hilo La Siku Tatu Linalolenga Kutumia Vyama Vya Ushirika Kuimarisha Biashara Ndogo Ndogo Nchini.Francis Mtalaki Anaarifu Kutoka Mombasa.