Kilio cha Uraibu | Uhaba wa heroin Pwani

  • | Citizen TV
    5,622 views

    Kwa kawaida, athari za utumizi wa mihadarati zimeathiri pakubwa maeneo ya Pwani ya kenya. Lakini sasa, athari hii inazidi janga kwa kuwa sasa, waraibu hawa wamegeukia kuchanganya dawa za kulevya na dawa za magonjwa sugu kama za saratani na hata matatizo ya akili kutokana na uhaba wa heroin.