- 2,174 viewsDuration: 2:37Familia moja imesalia na mahangaiko baada ya watoto wawili walio na miaka mitatu na kumi kutoweka katika njia isiyoeleweka. Familia hiyo inasema watoto hao walikuwa wameabiri matatu kuelekea nyumbani kwao eneo la Lucky Summer mtaa wa Baba Dogo ila hawakufika nyumbani. Na kama anavyoarifu Ode Francis, ni wiki tatu sasa tangu watoto hao kutoweka na hadi sasa juhudi za kuwatafuta zimeambulia patupu.