23 Sep 2025 10:26 am | Citizen TV 224 views Duration: 1:40 Sekta ya Utalii maeneo ya Malindi na Watamu inatarajiwa kuimarika katika siku za usoni baada ya serikali ya kaunti hiyo kuzindua awamu ya pili ya ujenzi wa barabara inayounganisha miji hiyo ya kitalii.