Watu 17 wafariki na idadi huenda ikaongezeka hata zaidi kufuatia ajali ya barabarani

  • | K24 Video
    866 views

    Watu 17 wamefariki na idadi huenda ikaongezeka hata zaidi kufuatia ajali ya barabarani iliohusisha lori lililokuwa limebeba mchele na basi la abiria aina ya super metro . Ajali hiyo ilitokea katika eneo la Othoo kata ndogo ya nyando kaunti ya kisumu.