Wakazi wengi wa eneo la Pana, magharibi wana funza

  • | Citizen TV
    282 views

    Jinamizi la funza limekuwa donda sugu Kwa elimu eneo Pana la magharibi na kuchangia matokeo duni shuleni, watoto wengi wakilazimika kusalia nyumbani Kwa kuhangaishwa na wadudu hao.