2 Oct 2025 1:39 pm | Citizen TV 333 views Duration: 1:34 Kenya imethibitisha utayari wake wa kuwa mwenyeji wa mkutano wa 24 wa wakuu wa nchi na serikali wa COMESA utakaofanyika tarehe 9 Oktoba кatika jumba la kimataifa la mikutano la KICC, jijini Nairobi.