- 1,059 viewsDuration: 3:02Wahudumu wa afya kaunti ya Nairobi wameandamana wakidai mishahara yao ya miezi mitatu. Wahudumu hao chini ya vyama saba vya wahudumu wa afya wamemkashifu gavana wa Nairobi Johnson Sakaja kwa kukiuka makubaliano yao ya awali na kukosa kuwajibika