- 2,708 viewsDuration: 2:53Tume ya uchaguzi nchini IEBC imeelezea matumaini kuwa idadi ya watu watakaosajiliwa upya kama wapiga kura itaongezeka kinyume na ilivyoshuhudiwa siku chache zilizopita. Tume hiyo ambayo inatembelea vyuo vikuu kuwashawishi vijana kujisajili, imesema kuwa ushawishi wao kwa vijana utazaa matunda na kuongeza maradufu idadi ya wanaosajiliwa