Mkewe rais Rachel Ruto atoa mchango kwa kundi la wanawake

  • | Citizen TV
    1,085 views

    Mkewe rais Mama Rachel Ruto ametoa msaada wa shilingi milioni moja kwa kundi la viongozi wa kike kutoka eneo la Nyanza kama njia moja ya kutambua mchango wao katika ujenzi wa taifa