Uchimbaji wa mchanga Kajiado

  • | Citizen TV
    426 views

    Kajiado Wamehusishwa Kwenye Kiako Cha Kutoa Maoni Kuhusu Mswada Wa Kudhibiti Uchimbaji Na Uuzaji Wa Changarawe. Wakazi Hao Wamepinga Baadhi Ya Mapendekezo Kwenye Mswada Huo Na Kuwataka Wawakilishi Wadi Kuzingatia Maslahi Yao Watakapojadili Mswada Huo Katika Bunge La Kaunti.