Tume ya Haki Za Binadamu inataka uwajibiki zaidi kuhusu waathiriwa wa mafuriko ya Mai Mahiu

  • | NTV Video
    82 views

    Tume ya Haki Za Binadamu nchini inataka serikali kutoa maelezo zaidi kuhusu mpango wa kuwasitiri upya waathiriwa wa mafuriko ya Mai Mahiu, baada ya serikali kutoa shilingi milioni 300, kwa minajili ya kufanikishsha shughuli hiyo.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya