Mbunge wa Daadab alaumiwa kwa matamshi yake dhidi ya waandamanaji

  • | Citizen TV
    19,871 views

    Mbunge wa Daadab Farah Maalim amejipata pabaya huku baadhi ya wakenya sasa wakitaka akamatwe na afunguliwe mashtaka kufuatia matamshi yake dhidi ya waandamanaji waliovamia majengo ya bunge. Kwenye video ambayo imesambaa mitandaoni, mbunge huyu amenakiliwa akizungumza kwa lugha ya kisomali akisema iwapo angekuwa rais, basi angehakikisha maelfu ya waandamanaji wameuawa. Maalim hata hivyo amekanusha kusema maneno hayo