Rais Ruto atia saini mswada kuhusu IEBC kuwa sheria

  • | Citizen TV
    3,207 views

    Safari ya kuwateua makamishna wapya watakaohudumu kwenye tume ya uchaguzi nchini IEBC imeanza baada ya rais William Ruto kutia saini mswada wa IEBC kuwa sheria. Rais Ruto akisema kuwa kutiwa saini kwa mswada huu kuwa sheria sasa kunaanza safari ya mageuzi kama ilivyopendekezwa kwenye ripoti ya maridhiano