Askofu Allan Kiuna wa kanisa la JCC aaga dunia

  • | KBC Video
    211 views

    Askofu Allan Kiuna wa kanisa la Jubilee Christian Church amefariki baada ya kuugua saratani kwa muda mrefu. Askofu kiuna alikuwa mwanzilishi na mchungaji mkuu wa kanisa la Jubilee Christian Church (JCC) jijini Nairobi. Askofu Kiuna alifichua kwamba alikuwa akiugua saratani mwaka uliopita baada ya kurejea kutoka ng’ambo alikokuwa akipokea matibabu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive