Vijana waonekana kushikiza uwajibikaji kaunti

  • | Citizen TV
    2,108 views

    Maandamano ya amani yanayoongozwa na kundi la vijana yameonekana kushika kasi katika kaunti mbalimbali ambapo sasa magavana wa kaunti wanalengwa. Vijana Katika kaunti za Nandi,Kericho na Bomet wakiweka mipango ya kufanya maandamano siku ya Alhamisi wakitaka viongozi wao kuwajibika