Rais Ruto alaumu mashirika ya kigeni kwa maandamano

  • | Citizen TV
    10,838 views

    Rais William Ruto sasa anaonekana kurejelea majukumu yake rasmi tangu maandamano yaliyochacha kote nchini. Akizungumza katika kaunti ya kajiado rais Ruto amekashifu washiriki kutoka mataifa ya kigeni ambao hakuwataja kwa kuhusika na maandamano hayo.