Mwanafunzi wa JKUAT Denzel Omondi alikuwa anapumua alipotupwa majini Juja: ripoti ya upasuaji

  • | NTV Video
    401 views

    Familia yake, Denzel Omondi mwanafunzi wa chuo kikuu cha JKUAT ambaye mwili wake ulipatikana ukielea katika bwawa la maji huko Juja inataka haki itendeke na waliofanya kitendo hicho cha kutamausha watiwe mbaroni. mwanahabri wetu Brian Muchiri alijiunga na familia hiyo walipofika katika chumba cha kuhifadha maiti cha General Kago na sasa anatuarifu zaidi.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya