- 142 viewsDuration: 4:30Serikali imesema zaidi ya vitambulisho vya kitaifa laki nne havijachukuliwa katika afisi husika nchini. Katibu katika idara ya uhamiaji Belio Kipsang anawashauri wakenya ambao walikuwa wametuma maombi ya vitambulisho vipya kuenda kuvichukua pamoja na kujisajili kuwa wapiga kura kwa ajili ya maandalizi ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2027. Kipsang alizungumza wakati wa shughuli ya upanzi wa miche kuadhimisha sikukuu ya Mazingira huko Kapseret kaunti ya Uasin Gishu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive