Wawakilishi wadi wa Azimio wasema malumbano ulioka Azimio unayumbisha upinzani

  • | Citizen TV
    3,211 views

    Wawakilishi Wadi Kutoka Kaunti Ya Kitui Wametaka Malumbano Katika Viongozi Wa Azimio Kutatuliwa Wakisema Unayumbisha Upinzani Nchini.Wakiongea Huko Mombasa, Wawakilishi Wadi Hao Wamelaumu Chama Cha Odm Kwa Vurugu Zilizoshuhudiwa Kwenye Mkutano Wa Azimio Jijini Nairobi Na Kutaka Viongozi Wa Vyama Tanzu Kufanya Mazungumzo Ili Kutatua Tofauti Zilizoko.