Chama cha wanabima wa benki kulinda wakulima na wafugaji dhidi ya hasara

  • | Citizen TV
    149 views

    Chama cha wanabima wa benki- BAK kimesema kinaimarisha mbinu za kutoa huduma kwa wateja ili kuwakinga wafanyibiashara wadogo, wakulima na wafugaji dhidi ya hasara inayotokana na majanga na wizi.