Wanafunzi Pokot Magharibi wapata mafunzo kuhusu utunzaji wa mazingira

  • | Citizen TV
    100 views

    wanafunzi katika kaunti ya pokot magharibi wamepata mafunzo kuhusu umuhimu wa kutunza mazingira. wanafunzi hao pia wameelimishwa kuhusu mbinu za kisasa za kilimo katika eneo hilo ambapo asilimia kubwa ni wafugaji ambao mara kwa mara kukabiliwa na changamoto ya mabadiliko ya tabia nchi.